Vigezo Na Masharti Kuzingatiwa
Imefanyiwa Marekebisho Tarehe 23 April 2022 *Tumeondoa group vip na vvip *Tumeondoa app *Tumeondoa huduma kwa telegram *Wateja wa vip na vvip waliokuwepo wataendelea kuhudumiwa hadi watakapotolewa .Hakuna wateja wapya watakaoongezwa na waliokuwepo wakitolewa hawatorudishwa humo tena labda walipie TAMBOVVIP. KUHUSU SAMSTUDIO Samstudio ni watoa huduma za movie na sizoni (tamthilia) mbalimbali toka mataifa ya nje ya Tanzania.Tunatoa huduma kwa njia ya mtandao (online). HUDUMA KWA NJIA YA MTANDAO SAMSTUDIO tunasambaza LINK za movie na sizoni kwa njia ya mtandao (internet) hasa kwa wateja walio mbali na ofisi zetu kwa njia ya link tu kwa kutumia mifumo mbalimbali kwa wateja waliojiunga (subscriber) tu. Kwa mteja kujiunga na huduma zetu ataweza kupata huduma zetu kupitia i.Whatsapp Group TAMBOVVIP Kupitia Whatsapp Group Mteja Ataweza kupata Movie na Sizoni mpya na miendelezo Jumatatu Kuanzia saa 3 asubuhi nakuendelea kulingana na muda ambao DJ Ameachia Movie na Sizoni hizo.Pi...
Comments
Post a Comment