Vigezo Na Masharti Kuzingatiwa
Imefanyiwa Marekebisho Tarehe 23 April 2022*Tumeondoa group vip na vvip
*Tumeondoa app*Tumeondoa huduma kwa telegram*Wateja wa vip na vvip waliokuwepo wataendelea kuhudumiwa hadi watakapotolewa .Hakuna wateja wapya watakaoongezwa na waliokuwepo wakitolewa hawatorudishwa humo tena labda walipie TAMBOVVIP.
*Tumeondoa app
KUHUSU SAMSTUDIO
Samstudio ni watoa huduma za movie na sizoni (tamthilia) mbalimbali toka mataifa ya nje ya Tanzania.Tunatoa huduma kwa njia ya mtandao (online).
HUDUMA KWA NJIA YA MTANDAO
SAMSTUDIO tunasambaza LINK za movie na sizoni kwa njia ya mtandao (internet) hasa kwa wateja walio mbali na ofisi zetu kwa njia ya link tu kwa kutumia mifumo mbalimbali kwa wateja waliojiunga (subscriber) tu.
Kwa mteja kujiunga na huduma zetu ataweza kupata huduma zetu kupitia
i.Whatsapp Group TAMBOVVIP
Kupitia Whatsapp Group Mteja Ataweza kupata Movie na Sizoni mpya na miendelezo Jumatatu Kuanzia saa 3 asubuhi nakuendelea kulingana na muda ambao DJ Ameachia Movie na Sizoni hizo.Pia utapata Movie na Sizoni zitakazotoka siku za katikati ya wiki juma4,5 nk.Wale watakaojiunga TAMBOVVP movie na sizoni tutaziupload na kuwapatia kuanzia siku ya jumanne na kujendelea kulingana na wingi wake.
Kupitia Whatsapp Group Mteja ataweza kupata poster za movie na season mbalimbali tutakazotoa kwa kadiri tunavyo ziweka kwenye website na App (Hatupokei maombi ya poster yoyote uitakayo wewe bali tutaziweka tulizonazo sisi).
Kupitia Whatsapp Group Mteja ataweza kupata taarifa na maelekezo mbalimbali yanayohusu group hilo hususani taarifa toka kwa madj,kuisha kwa bill na matangazo mbalimbali yanayohusu huduma zetu hivyo unashauriwa kupitia chati zetu.
💥TAMBOVVIP GROUP 15000 (9$=18000Fc Congo) Link za kuforwad+movie na sizoni za 2019-ZINAZOTOKA SASA
⚠️TAMTHILIA ZA KIBONGO NI KILASIKU,SINGO ZA KIBONGO NI KILA JUMATANO
⚠️TAMTHILIA ZA KIBONGO NI ZILE ZILIZOKUSANYWA KUANZIA JANUARY 2021.SINGO MPYA ZIPO ZA KUANZIA JULY 2021.SINGO ZA KIBONGO ZA NYUMA ZINAWEKWA TARATIBU PINDI ZINAPOKOSEKANA MPYA WIKI HUSIKA (TUNAPOKOSA MPYA NDIO TUNAUPLOAD ZAZAMANI).
*TAMBO inamaanisha mjumuisho wa Tamthilia na Singo za Kibongo
ZINGATIO
1.MOVIE na SIZONI zote zinapatikana kwa mfumo wa link hivyo utahitajika kudownload ndio uangalie na utahitajika uwe na kifurushi cha internet (MB) ili kuweza kupakua video husika.Pia unaweza kuplay online kwa badhi ya video japo nyingi hugoma kutokana na ubize wa video husika.Pia file zipo google drive ambayo ni mahususi kwa kuhifadhi mafile hivyo haipo vizuri kuplay online (streaming) hivyo unashauriwa kupakua kwanza ndio uiangalie. Kumbuka Drive sio youtube japo zipo kampuni moja.
2.Kwa link zilizopo kwenye website na App link yoyote isiyofunguka ungali umelipia toa taarifa kwa namba yetu ya whatsapp.
Kupitia Website ya sizoni mteja ataweza kuperuzi na kupakua sizoni mbalimbali tulizonazo kwa kuzingatia mipangilio mbalimbali (categories).Mipangilio kwa nchi zake (location)
Kupitia Website ya sizoni mteja ataweza kutafuta sizoni fulani kwa kutumia sehemu ya kuserch.(Unashauriwa Kuandika neno moja tu kwa usahihi)
Kupitia Website ya sizoni mteja ataweza kujua sizoni zilizobamba ndani ya siku 30 zilizopita
Kupitia Website ya Movie mteja ataweza kuperuzi na kupakua sizoni mbalimbali tulizonazo kwa kuzingatia mipangilio mbalimbali (categories) kama sizoni za taifa fulani au movie za dj fulani.
Kupitia Website ya Movie mteja ataweza kutafuta sizoni fulani kwa kutumia sehemu ya kuserch (Unashauriwa Kuandika neno moja tu kwa usahihi).
Kupitia Website ya Movie mteja ataweza kujua Movie zilizobamba ndani ya siku 7 zilizopita.
(mipangilio ni kama website ya sizoni)
MTEJA KWETU NI NANI
Mteja kwetu ni yule aliyejiunga na huduma kwa kulipia kuhudumiwa kwa muda fulani kwa kuzingatia gharama zetu na unaweza kulipia kwa mwezi mmoja ama kulipia miezi zaidi kwa kuzidisha Idadi ya miezi aitakayo (kudabo miezi).
KWAKUJIUNGA KWAKO (SUBSCRIBE) UTAWEZA...
i.Kupata Movie Zaidi Ya 1500 Tofautitofauti
ii.Season Zaidi ya 1200 Tofauti Tofauti
iii.Kupitia Google Drive Utapata Movie & Season Zenye Jumla Ya Ujazo Zaidi ya 10TB Zote Online Popote Ulipo kupitia Master Link utakayopewa baada ya kujiunga.
iiv.Movie Na Sizoni Za Madj Wakali Tanzania Kama MURPHY,VASCO,DJM,SIXFINGERS,ALLYKING,MACKY,BLACK,JUMAKHAN,OMMY,MSATI,KONDEBOY,SUREBOY,SUNIRY,SMART,SPENCER,SKILLS,AJIGAR BHAI,MJUKUU Na wengine wengi.
MASHARTI KABLA HUJAAMUA KUJIUNGA
i.Malipo yote lazima yafanyike kwa njia ya Masterpass kwa wateja wote wa Tanzania kama inavyoelekezwa kwenye picha hapo chini.
ii.Malipo yote lazima yafanyike kwa namba zetu zifuatazo kwa wateja wa nje ya nchi
TIGO PESA (TIGO)
0713055107
SALIM MHINA
M PESA (VODACOM)
0759727895
SALIM MHINA
AIRTEL MONEY (AIRTEL)
0685828199
SALIM MHINA
HALLO PESA (HALLOTEL)
0629795107
SALIM MHINA
T PESA (TTCL)
0738104032
SALIM MHINA
iii.Watanzania watakaofanya malipo nje ya masterpass hatutoyatambua malipo hayo zaidi unashauriwa kurejesha muamala wako kabla hujazipoteza hela zako.
vi.TAMBOVVIP Utapata huduma za Movie na Sizoni link za kuforwad toka kwa madj na wadau pia TUTAKAZOUPLOAD (IKIWEMO ZAKIBONGO)
viii.Utahudumiwa ndani ya muda husika uliolipia hivyo utakumbushwa tarehe ya bill kuisha siku utakayojiunga ama utakaporenew bill yako.HAKUTAKUWA TENA NA FINE(PENALT) KWA WATAKAOTOLEWA KWA KUISHA BILL ZAO PINDI WATAKAPOHITAJI KUUNGANISHWA TENA.Badala yake hivi sasa BAADA YA MTEJA BILL YAKE KUISHA SYSTEM ITAMUONDOA AUTOMATICALLY bila kumzidishia hata sekunde 1.Pia baada ya mtu kuondolewa kwenye system (drive) nasi kwenye whatsapp group tutamvumilia hadi tar 7 baada ya hapo pia kwenye group tutamuondoa.Baada ya kuondolewa na kwenye group atakapotaka kuunganishwa tena basi ataunganishwa bila kusogezwa bill yake yani bili yake itaisha tar ya mwezi huo huo aliolipia.Kama atataka bili yake isogezwe hadi mwishoni mwa mwezi ujao basi atalazimika kuongezea 5000 ili kuisogeza bili yake.
x.Mteja Mpya atakayelipia na kuungwa tarehe 1-7 bill yake itaisha tarehe ya mwisho ya mwezi huo alioungwa.Mteja mpya atakayelipia na kuungwa tarehe 8-29 au 30 au 31 ya mwezi huo bill yake itasogezwa hadi tarehe ya mwisho ya mwezi wa mbele yake.(Mfano mtu atakayeungwa kati ya tarehe 1-7 ya mwezi wa 3 basi bill yake itaisha tarehe 31 mwezi huohuo wa 3,mteja atakayeunganishwa kati ya tarehe 8-31 ya mwezi wa 3 basi bill yake itaisha tarehe 30 ya mwezi wa 4).Hatuna bill zinazoisha katikati ya mwezi.
xi.Baada ya kufanya malipo kama ilivyoelekezwa uthibitisho wa malipo utatumwa kupitia whatsapp namba +255685828199 screenshoot au sms ya muamala au jina la wakala.Usipotuma uthibitisho wa malipo hatutakutambua kuwa umelipa ili kuzirekebisha taarifa zako za kuunganishwa (update subscription status)....Usitume sms wala kupiga simu kututaarifu kuwa umelipia mana hatutokutambua wala kujishughulisha na sms yako hivyo zingatia na hakikisha unatutumia whatsapp ndio tutakurekebishia taarifa zako za bill.
xii.Link zetu zote (samstudio) zimefungwa na zinafunguliwa kwa subscriber tu waliolipia ndani ya muda wao waliolipia hivyo link zetu hawezi kupewa mtu mwingine asiyekuwa member wa samstudio.Zaidi unashauriwa ucopy kwenye drive yako kisha usambaze zikiwa katika miliki yako.Unaweza kujifunza hapa VIDEO 1 au VIDEO 2. Zingatia movie na season ulizocopy kwenye drive yako toka kwetu hutakiwi kuisambaza ikiwa wazi bali ifunge wafungulie member wako tu.Kusambaza link za movie ulizotoa kwetu zikiwa wazi zikitufikia/tukaziona tutakusitishia huduma mara moja na kupigwa ban ISIYOELEZEKA WALA KUSAMEHEKA.
xiii.Mteja ili kukunganisha Utatupatia email yako ya google account hususani drive account (....@gmail.com) ili kukufungulia link kwa muda uliolipia (subscribe).BOFYA HAPA KUTAMBUA EMAIL YAKO.
xv.Zingatia kwa mteja kujiunga kwa mara ya kwanza au baada ya kutolewa kisha akarejeshwa atalazimika kusubiri ndani ya masaa 12-24 kwaajili ya link zote kufunguka hivyo ni vyema akasubiri ndani ya muda elekezi kisha ndio akafungua link zetu au awe ana refresh folder kila baada ya lisaa ili kuona mabadiliko.
xvi.Kwa taarifa yoyote kama kubadili namba ya whatsapp au kubadili email au kutuma uthibitisho wa malipo yatafanyika kupitia whatsapp namba +255685828199 .
xvii.Unashauriwa kusave no hii +255685828199 ili kuweza kupokea ujumbe wa ukumbusho kuhusu kuisha kwa bill yako (broadcast message).
xviii.Utakapolipia kisha ikatokea kutokueleweka kutakakopelekea sisi kukurejeshea pesa yako basi utarejeshewa kwa pungufu ya 10% yaani kama ulilipia 15000 utarejeshewa 13500 ili kufidia makato.
xix.Utakapoungwa na group TAMBOVVIP hatutokuruhusu kuwafata member wengine inbox ikiwa hakuna namna yoyote ya nyinyi kufahamiana.Ni kosa kuwashawishi member wenzako inbox kuwataka wajiunge na huduma zako maana lengo la group ni wewe kupokea link za movie mpya na miendelezo wala sio kunadi jambo lako.Haturuhusu kuwaunganisha watu walio kwenye group (Huduma) zetu kwenye group lako bila wao kutaka uwaunge.Kwa kufanya hivyo tutakusitishia huduma mara moja na kupigwa ban ISIYOELEZEKA WALA KUSAMEHEKA.
xx.Kufanya udanganyifu wowote kama kufoji sms ya muamala kutapelekea kusitishiwa huduma na kublockiwa (block) kupata huduma zetu.
**********************
UMESOMA NAKUELEWA NA UPO TAYARI KUJIUNGA?
Tafadhali Bofya TAMBOVVIP hapo chini kuomba kuunganishwa
TAMBOVVIP Tsh.15,000/= Kwa mwezi
AMBATANA NASI KUPITIA
Good
ReplyDeleteMzeee me naitaji gorup la move na season maana ayo maelezo nimesoma adi kichwa kinauma
ReplyDeleteMagic hero
ReplyDeleteSasa mimi nipo uganda malipo ya kujiunga na Tambo Vvip ni shilingi ngapi za Uganda,nnitakutumia kwa namba gani,
ReplyDelete